Kwa kuanza kabisa nipende kushukuru kwa kututembelea au kwa kuingia kwenye ukurasa wetu huu wa SHAKTech.
Tunapenda kutoa ombi letu kwako kama kutoa support ya kuweza kufanikisha kuwa SHAKTech143 ndo jukwaa lako pendwa la kiteknolojia. Tafadhali fuatilia taarifa na masomo mapya katika mitandao yetu yote ya kijamii.
SHAKTech143 ni moja ya jukwaa linalo toa huduma za technology zaidi kwa mambo yafuatayo web designing, graphics, social media management, online marketing, tools developing, online studying and government services.
Pia tuna wataaramu wa lugha za kitechnologia zinazo julikana kama programming languages ambazo ni HTML, CSS, java, JavaScript, PHP, MySQL database, python, C++ na nyingine Zaidi.
Ikiwa utahitaji huduma zimazo husiana na technology au masuhara ya online au umepata changamoto ya kifaa chako cha electric tutafute Kwa njia zetu za mawasiliano ili tukuunganishe na mtoa huduma wa changamoto yako.
Unaweza kutupata katika mitandao ya kijamii tunayo patikana kwa urahisi kwa ajiri ya kukupa msaada kwa haraka pale utakapo kuwa na changamoto katika bidhaa zinazo tolewa na SHAKTech143.
Note: Usisahau ku subscribe au ku follow account zetu ili upate update kila mara.
USISAHAU KUSOMA KANUNI NA SHERIA ZA SHAKTECH143 PIA ENDELEA KUFUATILIA KURASA ZETU ZA KIJAMII KWA MANUFAA YAKO NDANI YA TECHNOLOGY